Ute wenye damu ukeni kwa mjamzito

If you create an account, you can set up a personal learning profile on the site. Katika kipindi hiki utajifunza kuhusu visababishi vikuu vya kuvuja damu mapema katika ujauzitoyaani mwanamke anapovuja damu akiwa mjamzito na kabla ya wiki 28, na halipaswi kutendeka. Kutoka kwa mimba ni mojawapo ya visababishi vya kawaida sana vya kuvuja damu mapema katika ujauzito na ni sababisho kuu la vifo vya kina mama na maradhi yanayohusiana na kuzaa ulimwenguni.

Aidha, kati ya mimba15 hutoka pekee yao uharibikaji wa mimba. Utajifunza jinsi ya kuainisha utokaji wa mimba ili kutoa utunzaji unaofaa, na mtazamo wa kisheria kuhusiana na utoaji wa mimba na njia salama za kutoa mimba zinazotumika katika vituo vya afya. Mimba isiyo kuwa ya kawaida na katika sehemu yake ni visababishi vingine vikuu vya kuvuja damu mapema katika ujauzito.

Mwanamke anaweza kuwa na matatizo ya kiafya akimaliza ujauzito mapema, kwa hivyo unapaswa kujua ishara za onyo. Kipindi hiki kinamalizia na jukumu la kumshauri kuhusu utunzaji wa dharura na rufaa ya awali ambayo inaweza kuokoa maisha ya mwanamke, na ushauri baada ya kutoa mimba na upangaji uzazi. The materials below are provided for offline use for your convenience and are not tracked. If you wish to save your progress, please go through the online version.

For further information, take a look at our frequently asked questions which may give you the support you need.

Primary Menu

Skip to main content. Explore OpenLearn. Search for free courses and collections. Sign in. Get started Create a course Free courses.

Yaliyomo Utangulizi Sehemu 1 1. Kupanga Utunzaji katika Ujauzito 2. Kuendeleza Utunzaji katika Ujauzito 3. Anatomia na Fiziolojia ya Mfumo wa Uzazi wa Kike 4. Udhibiti wa Homoni katika Mfumo wa Uzazi wa Kike 5.

ute wenye damu ukeni kwa mjamzito

Maumbile ya Pelvisi ya Mwanamke na Fuvu la Fetasi 7. Mabadiliko ya Kifiziolojia katika Ujauzito 8. Kutathmini Mama Mjamzito kijumla Kutathmini Fetasi Kutoa Huduma ya Utunzaji Maalum katika Ujauzito Wanawake wajawazito hupatwa na msongo wa mawazo sana kwa vitu vidogo vidogo tena vya kawaida mno.

Zipo sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea kutokwa na uchafu wenye majimaji ukeni wakati wa ujauzito. Baadhi ya sababu hizi ni za kawaida kabisa wala hazina madhara, lakini zingine zipo zinaweza kuonyesha viashiria vya hatari, nawe unapaswa uwahi kufika hospitali mara uonapo hali dalili kama hizo.

Anapendeza kweli mama mjamzito pale tumbo linapozidi kukua, kama unavyoona hapo juu kwenye picha. Zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo hutokana na kutokwa na uchafu wenye majimaji ukeni wakati wa ujauzito:. Kwa upande mwingine naweza nikasema hivi, utoko ni kitu cha kawaida kabisa; lakini kinaweza kuwa kibaya kwa mwanamke anapokiona kinatokea wakati wa ujauzito wake.

Lakini nipende kukufahamisha kuwa, viwango vya homoni ya estrogen huongezeka sana kadiri mimba inavyozidi kukua, na hali hii husababisha huongeza mtiririko wa damu kuelekea ukeni, na matokeo yake ndio utaona uchafu wenye majimaji ukitoka ukeni. Mara nyingi hali hii inapojitokeza kwa mama mjamzito humpa wasiwasi sana, na imani yake huja mara tu pale anapopata maelezo kutoka kwa daktari.

Jambo lingine ni hili hapa, napenda niwajulishe kina mama wajawazito kuwa, unapobeba ujauzito, mlango wa kizazi Cervix huvimba na kuwa mnene kwa ajili ya kutengeneza mlango au uwazi.

Ikiwa kama ungebaki katika hali hiyo, basi yaweza kuwa hiyo ndio ingekuwa njia ya kupitia bakteria kwenda kwenye mji wa mimba uterus.

Lakini mwili hauwezi kuruhusu hali hiyo ijitokeze kwa kiumbe kinachkuwa tumboni. NUKUU: Hivyo basi, chini ya mlango au uwazi huo hutengenezwa ute ute mwingi, nao huzuia aina ya bakteria yoyote asiweze kuingia kwenye mfuko wa uzazi uterus. Mwanamke anapokaribia kujifungua, uteute huondoka na hivyo husababisha kuwepo kutokwa na uchafu wenye majimaji ukeni na unaweza ukashuka mpaka mapajani mwake.

Lakini hatua hii ya ujauzito, wanawake wengi wameizoea kama hali ya kutokwa na uchafu ukeni. Kadiri tumbo la mama mjamzito linavyozidi kuwa kubwa, bila shaka huleta habari mpya kwa mama au mume anayetarajia mtoto.

Primary Menu

Naamini kila siku inapopita lazima mama akutane na miujiza mipya. Tambua leo hili kuwa, tumbo linapozidi kuwa kubwa pia husababisha msukumo hasa maeneo ya kibofu cha mkojo.

Mjamzito anapokohoa, au kucheka, mara nyingi vinaweza vikashuka vitu kama majimaji ukeni. Lakini cha kushangaza ni kwamba, huu huwa ni mkojo tu. Uonapo uchafu wa majimaji wenye rangi ya kahawia au nyekundu wakati wa ujauzito ukitoka ukeni, unapaswa kuwa makini sana. Yawezekana ni dalili za kujifungua kabla ya muda wake, na unapaswa kukimbia hospitali mapema ili kuonana na daktari.

Bakteria ukeni huzaliana kama matokeo ya kutokuwa na uwiano sawa wa bakteria wa asili ukeni. Uonapo dalili za uchafu wa njano au ukijivu vile ukitoka ukeni tena wenye harufu mbaya kama shombo ya samaki, basi hizi ni dalili zinazoonyesha kuwa una bakteria ukeni, na unapaswa uwe na tahadhari kubwa sana ili kuweza kupata matibabu kwa ajili ya kuzuia madhara yoyote kwa kiumbe kilichomo tumbini.

Utafiti unaonyesha kwamba wanawake wajawazito wanapenda kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, sijui kama madai haya ni ya kweli au la. Lakini ni kweli kabisa kuwa wanawake wengi wajawazito hushindwa kuvumilia wanapokuwa peke yao bila mwanaume.

NUKUU: Mwanamke mjamzito unapopatwa na maambukizi ya zinaa wakati wa ujauzito, dalili zinazokupata huwa ni kutokwa na uchafu wa njano wenye harufu mbaya ukeni. Je ni jambo la kawaida haya maji yanayotoka ukeni yanaposhuka kwenye mapaja na kwenye mashavu ya ukeni kusababisha maumivu makali kama mchubuko mapaja yanapogusana na kwenye mashavu?

Sio jambo la kawaida maji kushuka mapajani. Ukiona hali kama hiyo wahi kabisa hospitali kwasababu inaweza kuwa dalili ya matatizo ya ugonjwa. Natokwa uchafu huo wa njano lkn haitoi harufu yyte nmepimwa hospital magonjwa ya zinaa hakuna na unakera sana sana nikitoka haja ndogo nao unatoka Naomba namna ya kuutibu usitoke.Damu yenye utelezi inapotoka kidogo maana yake ni uchafu unaotoka ukeni ukiwa na mchanganyiko na damu kutokana na hali ya ujauzito, upevushaji mayai au sababu zingine.

Makala hii leo napenda nielezee visababishi vya kutokwa na damu yenye utelezi na jinsi gani inavyoweza kukutia mashaka au wasiwasi. Uchafu wa kawaida unaotoka ukeni huwa umetengenezwa na aina tofauti tofauti za seli pamoja na ute kutoka kwenye shingo ya kizazi.

Uchafu wa ukeni unakuwa umetengenezwa na seli aina ya epithelial, ute utokao kwenye shingo ya kizazi, bakteria wa asili wanaokuwa kwenye uke pamoja na viumbe hai wengine. Uchafu utokao ukeni ni wa muhimu kwasababu unasaidia kuzuia maambukizi ukeni. Uke kwa kawaida una bakteria wa asili wajulikanao kwa jila la Lactobacillus ambao husaidia kuuweka uke katika hali ya asidi au uchachuchachu fulani.

Uke unaokuwa na hali ya uchachu huzuia maambukizi kwa urahisi. Utoko ama uchafu unapaswa kuwa wa njano, mweupe au wa kahawia. Baadaye tutajifunza jinsi uchafu wa njano au mweupe unavyokuwa katika makala nyingine. Ikiwa kama una hali ya kutokwa na uchafu ukeni wenye damu kama makamasi, basi vifuatavyo hapo chini ndivyo vyanzo vya ishara unavyopaswa kuvitambua:. Ikiwa kama una ujauzito, basi kutokwa na damu yenye utelezi kama makamasi huwa ni ishara ya awali kabisa.

Hii ni kwasababu ya mgandamizo wa damu baada ya kiumbe kuanza kuumbika tumboni. Baada ya tendo la ndoa katika siku za hatari, huwa kuna nafasi kubwa mno ya kupata ujauzito.

Ikiwa kama mbegu zitarutubisha yai, basi ndipo kiinite hutengenezwa. Endapo kama hali hii ya mgandamizo itatokea, basi huwa kuna kunatokea hali ya kutokwa na damu kidogo kutoka kwenye ukuta wa mfuko wa kizazi endometrium ambayo huchangamana na utoko au uchafu na kuwa kama damu yenye utelezi kama makamasi vile. Damu yenye utelezi hutoka kwasababu ya hali ya mpachiko au uoteshaji implantation kutokea katika siku kadhaa au wiki kabla ya mzunguko wako wa hedhi. Ikiwa kama ulikuwa unapata mzunguko wa hedhi mapema sana ama kutokwa na damu kabla ya mzunguko wako wa hedhi kufika baada ya kufanya tendo la ndoa bila kutumia kinga, basi tambua kuwa hali hiyo ni ya ujauzito.

Kama una hali ya kutokwa damu yenye utelezi kama makasi vile kabla ya hedhi, basi hiyo ni ishara ya ujauzito. Kipimo cha ujauzito kinachofanyika wakati unapoona damu kidogokidogo ikitoka, chaweza kuwa hasi. Hii ni kwasababu kiwango cha kichochezi hormone au HCG kinachozarishwa na kondo la nyuma placenta baada ya kupachikwa kwa kiinitete, kitashuka sana wakati wa upachikaji implantation.

Wakati wa upevushaji, baadhi ya wanawake wanweza kupatwa na hali ya kutokwa na damu yenye utelezi kutoka ukeni mwao. Hali hii hutokana na mpasuko rupture wa kifuko cha yai huku kikitokwa na damu kidogo kidogo.

ute wenye damu ukeni kwa mjamzito

Kutokana na upevushaji, damu hii inapochanganyikana na utoko ama uchafu wako wa ukeni, basi uchafu unakuwa wenye damu. Yai hili linaporutubishwa na mbegu za mwanaume hukufanya wewe mwanamke kuwa mjamzito.

ute wenye damu ukeni kwa mjamzito

Hali ya kutokwa na uchafu wenye damu yenye utelezi kipindi cha upevushaji hutokea majuma 2 kabla au baada ya kipindi chako cha hedhi kukoma. Dalili za kipindi cha upevushaji wa yai huwa ni kutokwa na majimaji meupe yenye kulendemka kama ute wa yai la kuku, vichomi katika tumbo la chini, kuongezeka kwa hamu ya tendo la ndoa na matiti kuuma. Hali ya tendo la ndoa inaweza kusababisha uke kuchubuka. Hali hii inaweza kusababisha kutokwa na damu ambayo huchanganyakana na uchafu wako na kuwa wa kahawia au wenye damu.

La hasha! Kutokana na kufanya tendo la ndoa, damu yenye utelezi inapojitokeza hukoma ndani ya masaa au siku chache tu.

Ikiwa kama utaona damu nyeusi inatoka baada ya kufanya tendo la ndoa, basi itakuwa ni dalili za uvimbe kwenye mfuko wa kizazi uterus kama vile Fibroids.NA DK. Ute wa uzazi anaoupata mwanamke pale anapokuwa katika kipindi cha upevushaji mayai ndiyo unaosaidia mbegu za kiume ziweze kusafiri hadi katika yai lililopevuka katika mrija wa uzazi. Kwa kawaida ute wa uzazi ni mwepesi na unavutika au unakuwa na mnato.

Matatizo ya uzazi yanayomfanya mwanamke asipate ujauzito husababishwa na kasoro katika uzalishaji wa mbegu za kiume na matatizo katika ute wa uzazi. Tunategemea mwanamke yeyote aliye kamili katika uzazi hupevusha mayai na dalili ya upevushaji huu wa mayai ni kuwa anatokwa na ute wa uzazi.

Kupata ute wa uzazi usio wa kawaida kwa mwanamke humfanya awe mgumba, ute wa uzazi unapokuwa na tatizo husababisha mbegu za kiume zishindwe kupenya humo na kuogelea kwenda kurutubisha yai lililo tayari. Pia ute wenye matatizo huua au kuziharibu mbegu za kiume, hata mwanaume atoe mbegu zenye ubora namna gani kama pale ukeni ute una matatizo basi zitauawa au kukosa ubora wa kwenda mbele zaidi.

Tunapoongelea ute wa uzazi kwa kawaida ute huu tunauweka katika makundi makuu matatu, kwanza ni ute mzito, ute huu baada ya muda mfupi hubadilika kuwa mwepesi na mwembamba huku ukivutika kwa lengo la kuwezesha mbegu za kiume zisafiri humo, mwisho ute wa uzazi unarudi kuwa mzito.

MTINDI UNAVYOSAIDIA MWANAMKE KUJISAFISHA

Ute wa uzazi unapokuwa mwepesi na kuvutika unaashiria uwepo wa kiwango cha kutosha cha vichocheo vya Estradiol katika mzunguko mzima wa mfumo wa hedhi wa mwanamke. Hapa tunategemea vichocheo hivi vya Estradiol kuwa vizuri hasa katika kipindi cha uzalishaji mayai kiitwacho Follicular Phase. Mwanamke mwenye ute wa uzazi usio wa kawaida yaani anakuwa na ute mzito tu daima, hana historia ya kupata ute mwepesi na wa kuvutika tunasema anapevusha mayai lakini hatoi ute wa uzazi hivyo kuna matatizo katika utoaji wa ute wa uzazi tatizo ambalo kitaalamu linaitwa Abnormal Cervical Mucus.

Kwa hiyo mwanamke anaweza kuwa na tatizo hili la kutokupata ute wa uzazi wenye sifa katika kipindi chote cha umri wake wa kuzaa na hata wakati wa Ovulation au upevushaji wa mayai. Ute huu mzito ukeni husababisha kuua au kuziharibu mbegu za kiume na wakati mwingine hutoa nafasi kwa bakteria na fangasi kujipenyeza humo na kumfanya mwanamke asumbuliwe na tatizao la muwasho wa mara kwa mara ukeni, kutoa harufu mbaya au ute huo kubadilika rangi na kuwa njano.

Tatizo linaweza kuendelea na kuathiri mlango wa kizazi hivyo mwanamke anapata ugonjwa uitwao Cervicitis. Wakati mwingine ute huu usio wa kawaida unaweza kutengeneza mazingira ya kinga ukeni ambapo kila mbegu ya kiume inapofika ukeni inauawa.

Ute huu ukigunduliwa mwanamke hutibiwa na kupona na kupata ujauzito, itakuwa ngumu endapo mwanamke huyu atakuwa na maambukizi sugu ukeni au mdomo wa kizazi utabana kutokana na matibabu ya saratani ya shingo ya kizazi. Uchunguzi wa tatizo hili hufanyika katika kliniki za madaktari bingwa wa akina mama kwenye hospitali za mkoa ambapo vipimo vya kuangalia ute wa uzazi na shingo ya kizazi vitafanyika.

Vilevile vipimo vya mbegu za kiume vitafanyika kuangalia ubovu wa mbegu na kama kweli zinashindwa kupenya na kuogelea katika ute wa uzazi.

Vipimo vingine ni damu kuangalia homoni za uzazi na vingine ambavyo daktari ataona vinafaa. Matibabu hutolewa baada ya uchunguzi wa kina, endapo mume na mke wana tatizo la kutopata mtoto kwa mwaka zaidi ya mmoja, basi uchunguzi ufanyike kwa wote wawili. Baada ya uchunguzi wa ute kwa mwanamke kukamilika, tiba hutolewa kwa kukabili tatizo na kulainisha uke ili mbegu za kiume ziwe na uwezo wa kulifikia yai.

Matibabu mengine yatatolewa kadiri daktari atakavyoona inafaa. Install Globalpublishers Application. UCHUNGUZI Uchunguzi wa tatizo hili hufanyika katika kliniki za madaktari bingwa wa akina mama kwenye hospitali za mkoa ambapo vipimo vya kuangalia ute wa uzazi na shingo ya kizazi vitafanyika.

Search for:.Bacteria hawa ni wa kawaida na hawana madhara kwa mwili. Wanawake wote hutoa uchafu sehemu za siri. Hii ni dalili ya ugonjwa wa kisonono Gonorrhea.

Uchafu wa aina hii ni dalili za maabukizi ya Bacterial Vaginosis. Bacterial Vaginosis: Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakifahamiki.

MTINDI UNAVYOSAIDIA MWANAMKE KUJISAFISHA

Tiba kwa tatizo la bacterial vaginosis zipo za aina mbili. Trichomoniasis: Maambukizi haya hutokana na aina ya protozoa wa seli moja. Monilia Yeast Infection: Kwa kawaida kuna kiwango kidogo cha yeast Candida albicans katik uke. Maambukizi ya yeast hayatokani na tendo la ngono.

Tiba ni kutumia vidonge vya antifungal na cream za kupaka ukeni. Kuna dawa nyingi za kuweza kuondoa tatizo hili. Lactobacilli ni bakteria wazuri wanaoishi ukeni bila kuleta matatizo ya aina yo yote. Kwa kawaida uwepo wa bakteria hawa unasaidia sana katika kupambana na wadudu aina nyingine wenye madhara kwa mwili — huongeza kinga ya mwili.

Lakini endapo mazingira dhalili ya uke yatabadilika, bakteria hawa wazuri wanaweza kuzalina kupita kiwango kinachotakiwa. Hii inaweza kutokea, kwa mfano, kunapotokea matumizi ya mara kwa mara ya antibiotics au dawa za kuzuia na kuua fungus. Ni tatizo ambalo linalowapata zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa — miaka 25 — 40 — kwa sababu ya uwepo wa homoni ya estrogen. Dalili za tatizo hili ni rahisi sana kuzichanganya na zile za matatizo mengine ya hapo juu na hasa vaginal candidiasis monilia.

Unaweza vile vile kuchanganya baking soda na maji ukatengeneza namna ya uji na kuuweka kwenye pedi. Ni faraja kwetu kuona tumekjibu vizuri. Kwa mawasiliano tumia anuani promota gmail. Tafadhali ungana nasi kwenye ukurasa wa facebook wa LINDA AFYA YAKO ili upate mfululizo wa mada zetu zinazohusu afya ya binadamu na jinsi ya kuanza na kufanya biashara za mtandao zinazohusu virutubisho vya mwili kwa mtaji mdogo kabisa.

Tunaomba uweke LIKE kwenye ukurasa huo endapo utakuwa umependezewa na mada zetu. Jina Lako. Anuani Ya Barua Pepe. Namba Yako Ya Simu. Kichwa Cha Habari. Swali Au Maoni Yako. Dawa Ya Kisonono Sugu. Dawa ya Uchafu Ukeni. Dawa Ya Kupunguza Bakteria. Ni Nini Tiba Ya Fibroids? Ugonjwa Wa Gout. Unaujua Ugonjwa Huu Wa Gout? Ugonjwa Wa Kisonono Gonorrhoea.

Chanzo, Dalili Na Tiba. Chanzo Na Tiba Ya Hernia. Faida Za Usingizi.Wasiliana na mimi nipate kukutibia.

Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Maalim Saad Email barua ya pepe. Mzizi Mkavu. Home Mawasiliano. Tatizo hili huwatokea wanawake na wanaume. Mwanaume hutokwa na majimaji katika njia ya mkojo, mwanamke hutokwa na majimaji haya katika njia ya mkojo au ukeni. Majimaji haya yanaweza kuwa mepesi au mazito, pia yanaweza kuwa ni usaha kutegemea na chanzo cha tatizo. Mwanaume mwenye tatizo hili, majimaji yanaweza kutoka yenyewe na kujikuta amechafua nguo za ndani au asubuhi anapoamka anajikuta amechafuka.

Wakati mwingine unapojisaidia haja kubwa majimaji haya hutoka kama manii yakiwa yanateleza toka katika njia ya mkojo. Kwa upande wa mwanamkekutokwa na majimaji haya inategemea ni wakati gani, aidha wakati wa ujauzito au wakati ambao siyo wa ujauzito. Hali hii ikitokea wakati wa ujauzito siyo dalili nzuri, wakati mwingine huhatarisha hali ya ujauzito. Katika kipindi ambacho siyo cha ujauzito, tatizo hili linapotokea huwa na vyanzo vingi.

Jinsi tatizo linavyotokea Mwanaume mwenye tatizo hili, kama anatokwa na usaha, utakuwa na historia ya kufanya ngono zembe siku za nyuma na siyo muda mrefu sana. Endapo utakuwa na majimaji mepesi itategemea kama yanawasha au la, kama hayawashi basi aidha utakuwa una tabia ya kujichua au ulishawahi kuumia njia ya mkojo. Majimaji yanapotoka na kuhisi muwasho katika njia ya mkojo, inaashiria maambukizi sehemu hiyo yanayoweza kusababishwa na Fangasi, Klamidia na Trikomonia.

Hali hii pia inaweza kuwatokea hata wanawake ambao wanaweza kupata matatizo ukeni na katika njia ya mkojo kama inavyojielezea hapo juu. Mwanamke kutokwa na uchafu mzito ukeni inategemea na chanzo, aidha inaweza kusababishwa na mabadiliko ya mwili au maambukizi.

Hali hii inategemea na uchafu au majimaji hayo yapo katika hali gani. Mwanamke mjamzito na asiye mjamzito endapo atatokwa na uchafu mzito ukeni ambao hauna harufu wala muwasho, hilo siyo tatizo na maambukizi, ni mabadiliko tu ya mwili.

Kwa mwanamke ambaye siyo mjamzito, hali hii inaashiria kutopevusha mayai na hawezi kupata ujauzito. Uchafu wenye rangi aidha njano, rangi ya udongo au damu, au unatoa harufu, basi ni tatizo linalohitaji uchunguzi wa kina. Dalili za tatizo Kama nilivyoelezea jinsi tatizo linavyotokea, hali ya kutokwa na uchafu au majimaji ukeni huambatana aidha na muwasho, harufu au la. Kama hakuna harufu au muwasho hali inapotokea kwa mwanamke tatizo linaweza kuwa katika mfumo wa homoni na hali inapotokea ikaambatana na muwasho harufu tatizo ni maambukizi.

Kwa wanawake tatizo linaweza kuambatana na maumivu katika njia ya mkojo, maumivu ukeni, maumivu wakati wa tendo la ndoa, maumivu chini ya tumbo na maumivu ya kiuno. Mwanamke pia hupoteza hamu ya tendo la ndoa, mzunguko wa hedhi huvurugika, kutopata ujauzito na kupoteza hamu ya tendo la ndoa. Matatizo haya humfanya mgonjwa apoteze hamu ya kula na mwili kuwa mchovu na kukosa raha. Uchunguzi Hufanyika katika kliniki za magonjwa ya kinamama.

Muone daktari bingwa wa kinamama kwa uchunguzi wa kina. Vipimo vipo vya aina nyingi kama vya damu, kupima shingo na mdomo wa kizazi, kupima uchafu utokao ukeni, kipimo cha Ultrasound na vingine ambavyo daktari ataona vinafaa. Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Unknown 19 May at MziziMkavu 18 June at Mada Maarufu. Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum.

Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali d Tatizo la uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi. Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na Kwa wale ambao tuna nywele asilia a. Kwa wale mnaofikiria kuanzaKWA kawaida mwanamke hutokwa na majimaji mepesi vaginal fluids yenye rangi nyeupe au ya njano. Mwanamke mwenye tatizo hili hujisikia vibaya na anaweza akaacha kushiriki tendo la ndoa ama kwa kuhofia maumivu au kwa kuona aibu kwani mwanamume ni vigumu kuvumilia harufu hiyo au hata kuuona tu huo ute ute kwani humjengea hisia kwamba mwenza wake atakuwa na magonjwa ya zinaa au si mwaminifu kwa ujumla.

Mara uonapo dalili hizo unashauriwa kwenda kumuona daktari haraka iwezekanavyo kwa vipimo zaidi na dawa zaweza kuwa ni za kunywa au za kupaka. Kitunguu swaumu. Kitunguu swaumu ndiyo dawa ya asili nzuri kuliko zote kwa ajili ya maambukizi ya bakteria kwa wanawake. Kitunguu swaumu ni antibiotiki ya asili na hufanya kazi ya kuua bakteria wasababishao huu uchafu ukeni bila shida yoyote. Menya punje tatu au tano za kitunguu swaumu, zipondeponde kidogo na uzifunge vizuri ndani ya kitambaa laini na ingiza ndani ya uke wako kwa saa sita hivi kisha ukitoe.

Pia menya punje sita za kitunguu swaumu na uzikate vipande vidogo vidogo chop na unywe na maji nusu lita asubuhi ukiamka au usiku unapoenda kulala kwa wiki mbili mpaka tatu. Chukua mtindi ujazo wa kijiko kidogo cha chai na utumbukize ndani ya uke wako na uache huko usiku mzima.

Mtindi una bakteria wazuri wanaohitajika ukeni kuweka sawa usawa wa PH alikalini na asidi na hivyo kuondoa maambukizi. Pia unashauriwa kula tu huu mtindi mara mbili kwa siku kuongeza kinga ya mwili wako kwa ujumla dhidi ya magonjwa mbalimbali. Chovya pamba ndani ya siki ya tufaa apple cider vinegar na uweke ndani ya uke kwa dakika 15 hadi 20 kila siku na bakteria wabaya wote watakufa.

Loweka kijiko kidogo cha mbegu za uwatu fenugreek seeds ndani ya maji glasi moja na uache kwa usiku mzima. Kesho yake asubuhi maji haya yaliyolowekwa mbegu za uwatu kabla ya kula au kunywa chochote. Uwatu husaidia kuweka sawa homoni za mwili na kuweka sawa mzunguko wa hedhi. Changanya kijiko kimoja cha chai cha binzari manjano ya unga na kikombe kimoja cha maziwa ya moto na unywe mara mbili kila siku mpaka tatizo litakapoisha. Tumbukiza ndani ya sufuria na weka maji lita tatu, chemsha mpaka limau ziive zisiive sanaipua utowe zile nyama nyama za ndani za limau moja baada ya nyingine, ganda la nje tupa na uchuje kupata juisi ambayo itakuwa na ujazo wa lita mbili na nusu.

Kwenye sufuria nyingine kubwa changanya ile asali nusu lita na hiyo juisi ya limau lita mbili na nusu, ongeza maji safi ya kawaida lita mbili ili kupata lemonade ya ujazo wa lita tano. Ihifadhi katika friji. Ingawa jeli halisi ya mshubiri haitibu moja kwa moja tatizo la kutokwa na uchafu ukeni, inaweza kuwa msaada mkubwa katika kupunguza maumivu na muwasho ukeni. Chana kipande kidogo cha jani la mmea huu na ukamue kidogo kupata maji maji yake na upake vizuri taratibu ndani ya uke mara mbili kwa siku kwa majuma kadhaa hadi muwasho utakapoisha.

Kuwa na mpenzi mmoja tu, pendelea kujiweka msafi muda wote, oga maji ya moto, acha vinywaji baridi, acha pia chai ya rangi na kahawa. Pia unapaswa kuacha matumizi ya pafyumu hasa maeneo ya ukeni. Mwandishi wa makala haya ni Fadhili Paulo ambaye pia ni mtaalamu wa dawa asili. Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.

Corona yaondoa maisha ya Allen Garfield. D ammwagia sifa Wema Sepetu. Chynna Rogers afariki dunia.

ute wenye damu ukeni kwa mjamzito

Virusi vya corona vyakosesha watu burudani msimu wa Pasaka. Corona yamliza Naomi Campbell kila siku. Usiwe mwepesi kutoa ushauri kwa mtu. Wananchi wajengwe kisaikolojia kukabili corona. Namna ya kuwafanya watu wafurahie mafanikio yako. All Michezo Kimataifa Michezo Kitaifa.


thoughts on “Ute wenye damu ukeni kwa mjamzito”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *